Gharama ya kupeleka mafuta Ngara italipwaje? Ukisema uweke bei ya mafuta sawa na ngara Tz nzima maana yake makampuni yatakuwa yanapambana kuuza mafuta mikoa karibu na bandari mana itakuwa na faida kubwa sana, ukisema uweke sawa na dar jua kabisa hakuna ataeenda kuuza mafuta Ngara, Simply put hio issue ni ngumu