Mkuu ya kweli haya? 😳Mafuta hayawezi kushuka 7bu yeye huyo mamani mfanyabiashara wa mafutana ana sheli(vituo vya mafuta) ambavyo vimetapakaa nchi nzima
Kamwe usitarajie MAFUTA kushuka bei
Kugharamia anasa na safari zao.kwenda ufaransa kutaliiKila Jumatano ya mwanzo wa mwezi EWURA wanatangaza bei mpya ya nishati ya mafuta. Kwa asilimia kubwa kila wakitangaza ni ongezeko tu la bei na siyo punguzo.
Ukichukua mfano wa nchi zote za jirani zetu bei zao ni pungufu kuliko ya Tanzania. Hivi Tanzania tuna tatizo gani na tunawabebesha wananchi mzigo mkubwa wa gharama ya mafuta. Leo hii Kenya wamepunguza bei ya mafuta lakini kwa Tanzania kila kukicha bei inapanda.
Kama nchi chukueni hatua mtafanya wananchi waichukie Serikali yao.
Mkuu Mzimu wa Kolelo Salam kwako.Mafuta hayawezi kushuka 7bu yeye huyo mamani mfanyabiashara wa mafutana ana sheli(vituo vya mafuta) ambavyo vimetapakaa nchi nzima
Kamwe usitarajie MAFUTA kushuka bei
Mimi naona hakuna haja ya kumsumbua MTU asiyependa maendeleo, Sisi tunaohitaji maendeleo tusogezewe huduma zote kwenye maeneo yeti hasa hivyo vituo vya mafuta tutanunua hata mafuta ya taa kupunguza jam ya maduka ya mangi kujaziwa kila kitu mpaka usafi ukosekane, mambo mazuri yaje kila mtaa, Kwanza maendeleo yamechelewa Sana kwasababu ya tabia ya kupenda kuwa fungu la kukosa na maisha mazuri tunaachia watu weupe.Mkuu Mzimu wa Kolelo Salam kwako.
Naona hapa umetoa tuhuma nzito sana, naomba kama hutojali ututaji jina au majina ya hivyo vituo vya mafuta.
Ahsante