Kwanini benchi la Simba wanapuuzia ushauri ninaowapa mimi mzee mutu ya boli?????

Chief Ortambo Ikumenye

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
247
Reaction score
503
Baada ya mechi ya Azam nilisema wazi kuna wachezaji hawastahili kuchezea Simba na wengine nilisema wakalishwe kitako (Naskitika sana ushauri wangu ni kama wanautekeleza taratibu kwa kuanza na yule m Zambia alikuwa anacheza kama ana degedege)

Baada ya hii mechi ya Dodoma leo, conclusion yangu muzee mutu ya boli ni ile ile

Hawastahili kuwa Simba
1. Mutale - leo nashukuru hakuwepo kabisa

2. Kijili - sijui ni kwamba Simba haina right back ingine maana akitoka huyu nje kuna mzee kapombe naskitika sana kondoka kwa mwenda. Huyu Kijili anacheza mpira wa enzi za kija pele mpira unepitwa na wakati. Crossing poor halafu decisioning zake pia ni poor.. kwa mtu asojua mpira anaona huyu ni mali kwasababu jamaa mudaa wote anakimbia kama amekunywa shoti, ila kwa sisi watu wa boli wa mpira wa matokeo, pale hakuna mchezaji aisee.

3. Kibu Denis - wasiojua boli wanakuambia anaipambania timu ila kwa sisi watu wa boli na ukiangalia mechi ya leo, huyu sio aina ya mchezaji ambaye anaweza kukupa output ya maana. Ndo maana unaona leo Jini Ateba hajapata clear chances za maana kutoka kwa Kibu. Nilishangaa sana kocha kumtoa Mukwala akamuacha huyu wakati kwa mutu ya boli Mukwala ameonesha performance nzuri na alikuwa mapande mazuri. Narudia tena huyu Kibu hana mchango wowote kwa timu kwa sasa.

Niliosema wajirekebishe
1. Balua - huyu nilisema ana mawenge kwenye ile mechi ya Azam, ile kwa mechi ya leo nimeona kwamba ana tatizo kubwa zaidi la kiuchezaji. Anacheza mpira wa kinyumbunyumbu, yaani yeye anaenda mbele tu bila kuachia mali, matokeo yake striker Jini Ateba anakosa quality balls za kutupia kambani, kaniuzi sana huyu. Ila kwasababu ni kijana wakae naye chini

2. Ahoua - Nilisema anacheza ki Mvp sana na yupo soft, bado sibadilishi kauli yangu, japo naona ana kitu anaweza ku offer kwa timu.

3. Mukwala - Nilisema apewe nafasi na bado sitengui kauli yangu, mechi ya leo kwa first half, kwa jicho la watu wa boli amecheza vizuri kwa maana ya kutengeneza nafasi za mabao, nashangaa kwanini alitoka Kibu akabaki.

Sina ubaya nao
1. Awesu
2. Backline yote pamoja na kipa ukiacha yule aliyepigwa shoti Kijili
3. Mavambo
4. Jini Ateba - Yaani isingalikuwa wale jamaa akina wanacheza kama wamemeza shoti akina Kibu, Balua na Kijili, huyu jamaa alivyokuwa na Control nzuri ya mpira na target angepata clear chances lazima angetetema. Yaani jini Ateba apate mtu kama Maxi Nzengeli, kmmk walai yaani atafunga mpaka wasiojulikana.

Ni mzee wenu nisiye na baya, mutu ya boli
Chief Ikumenye
 
Kwa Kibu nakataa mkuu, Kibu tunamhitaji sana, ana aina yake ya pressing muhimu sana kwa timu, japo juhudi 100 matokeo ndo huwa 1
 
Ila hapo kwa Awesu huyo ni mchezaji wa timu ndogo nadhani Simba mlima kwake anapata mchecheto wa maamuzi kwenye nyakati muhimu,...

Ila Leo katika wote HAMZA kanifurahisha sana kacheza kikubwa mno.
 
Hatujafika hata mechi 15 mmeshaanza kelele,huo ushauri pelekeni huko nye ndo mnaletaga gundu kwenye timu,mnapiga kelele wakisajili mnapiga kelele tena,,mnunue mchezaji wa kwako umpeleke msimbazi
 
😂😂😂😂😂🤪🤪🏃🏃🏃
 
Baada ya mechi ya Azam nilisema wazi kuna wachezaji hawastahili kuchezea Simba na wengine nilisema wakalishwe kitako (Naskitika sana ushauri wangu ni kama wanautekeleza taratibu kwa kuanza na yule m Zambia alikuwa anacheza kama ana degedege)

Baada ya hii mechi ya Dodoma leo, conclusion yangu muzee mutu ya boli ni ile ile

Hawastahili kuwa Simba
1. Mutale - leo nashukuru hakuwepo kabisa

2. Kijili - sijui ni kwamba Simba haina right back ingine maana akitoka huyu nje kuna mzee kapombe naskitika sana kondoka kwa mwenda. Huyu Kijili anacheza mpira wa enzi za kija pele mpira unepitwa na wakati. Crossing poor halafu decisioning zake pia ni poor.. kwa mtu asojua mpira anaona huyu ni mali kwasababu jamaa mudaa wote anakimbia kama amekunywa shoti, ila kwa sisi watu wa boli wa mpira wa matokeo, pale hakuna mchezaji aisee.

3. Kibu Denis - wasiojua boli wanakuambia anaipambania timu ila kwa sisi watu wa boli na ukiangalia mechi ya leo, huyu sio aina ya mchezaji ambaye anaweza kukupa output ya maana. Ndo maana unaona leo Jini Ateba hajapata clear chances za maana kutoka kwa Kibu. Nilishangaa sana kocha kumtoa Mukwala akamuacha huyu wakati kwa mutu ya boli Mukwala ameonesha performance nzuri na alikuwa mapande mazuri. Narudia tena huyu Kibu hana mchango wowote kwa timu kwa sasa.

Niliosema wajirekebishe
1. Balua - huyu nilisema ana mawenge kwenye ile mechi ya Azam, ile kwa mechi ya leo nimeona kwamba ana tatizo kubwa zaidi la kiuchezaji. Anacheza mpira wa kinyumbunyumbu, yaani yeye anaenda mbele tu bila kuachia mali, matokeo yake striker Jini Ateba anakosa quality balls za kutupia kambani, kaniuzi sana huyu. Ila kwasababu ni kijana wakae naye chini

2. Ahoua - Nilisema anacheza ki Mvp sana na yupo soft, bado sibadilishi kauli yangu, japo naona ana kitu anaweza ku offer kwa timu.

3. Mukwala - Nilisema apewe nafasi na bado sitengui kauli yangu, mechi ya leo kwa first half, kwa jicho la watu wa boli amecheza vizuri kwa maana ya kutengeneza nafasi za mabao, nashangaa kwanini alitoka Kibu akabaki.

Sina ubaya nao
1. Awesu
2. Backline yote pamoja na kipa ukiacha yule aliyepigwa shoti Kijili
3. Mavambo
4. Jini Ateba - Yaani isingalikuwa wale jamaa akina wanacheza kama wamemeza shoti akina Kibu, Balua na Kijili, huyu jamaa alivyokuwa na Control nzuri ya mpira na target angepata clear chances lazima angetetema. Yaani jini Ateba apate mtu kama Maxi Nzengeli, kmmk walai yaani atafunga mpaka wasiojulikana.

Ni mzee wenu nisiye na baya, mutu ya boli
Chief Ikumenye

Wewe ni Mwanga tu kama Mchome.!

Kutwa kuvaa Jezi za Simba Lkn yeye ni Utopolo kbs..!

Mtuachie Simba Yetu....Nendeni mkashabikie timu yenu mnayoipenda na jezi ni biashara mvae Za kwao...!

MEMKWA Soon wataanza kukohoa damu Mwaka huu tunao....! Hatutanii
 
Tafuta pesa uondoe ufukara ulionao watakusikiliza
Si unaona tajiri Mo anasikilizwa
 
Kama wewe mtu wa mpira niambie hapo mtaani kwenu timu unayoifundisha Ipo nafas ya ngapi kwenye kombe la mbuzi
 
Back
Top Bottom