Kwanini benki nyingi hazikopeshi Wizara ya Kilimo?

Kwanini benki nyingi hazikopeshi Wizara ya Kilimo?

msikivuTz

Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
68
Reaction score
407
Naombeni kuuliza,

Kuna ndugu yangu kaja kuniambia katembelea benki za NMB,KBC, BOA,POSTA wote wanadai wameteminate kutoa mikopo kwa wafanyakazi wa wizara ya kilimo na chakula eti kisa wizara haipeleki makato.

Je, hii imekaaje ukweli wake? Je ni benki gani ambayo bado wanawahudumia wafanyakazi wa hii wizara
 
msikivuTz

Sasa ongea na viongozi wa wizara yako.
Sio kosa la benki.
 
Last edited by a moderator:
msikivuTz

Huyo ndugu yako anafanya kazi wapi? Ni kibarua wa wizara ya kilimo? Hii ndo naisikia kwako, unamaanisha wafanyakazi wa wizara ya kilimo kwenyewe? Hivi mishahara siyo kwamba inalipwa kutokea hazina?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom