ARMs14
JF-Expert Member
- Jul 11, 2014
- 316
- 233
Habari wakuu?
Ndugu zangu mpaka sasa hivi benki hii ya Tanzania comecial bank zamani ikiitwa benki ya posta hawajatoa mshahara kwa wafanyakazi ambao wanapitisha mishahara yao katiak benki hii. Sijui tatizo liko wapi? Maana benki zote watu wanaopitishia mishahara yao washawekewa mshahara wa mwezi Agosti wao hawa TCB bado au wanataka watumishi wahame?