Kwanini biashara ya kutembeza karanga zilizokaangwa imekufa?

Kwanini biashara ya kutembeza karanga zilizokaangwa imekufa?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Hii biashara ilikuwa ikifanywa na vijana wengi miaka ya nyuma. Imekufa kibudu. Shida nini?

Ni biashara ipi tena ya zamani imepotea au kufa?
 
Yaani hizi karanga kila nikinunua na kuzila hata za mia mbili tu yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana ila hizi wanazofunga kwenye vifuko vya nailoni nikila nakuwa freshi tu. Sijui wanachanganya na madawa hani hawa vijana
 
Kaka njoo Tabora hadi kero, Wanazi tembeza sana, ikatokea umekaa zako sehemu utaona kero kwa kuulizwa kila mara na wanao zitembeza. Ziko mbichi, zaku kaanga, kuchemsha na maganda yake
 
Hii biashara ilikuwa ikifanywa na vijana wengi miaka ya nyuma. Imekufa kibudu. Shida nini?

Ni biashara ipi tena ya zamani imepotea au kufa?
Mbn mie naina sana mitaani..mpk huwa najiuliza kwann za moto muda wote
 
Mie najiulizaga mbn za moto zile karanga muda wote na hawatembei na moto ..au ni ile mifuko inahifadhi joto?
Mifuko ile iko mingi inatengeneza insulation. Kuna dogo kila siku lazima apite kijiweni kwetu atuuzie karanga zake nzuri sana.
 
WanaJF ofisi zetu zipo NSSF Tower, 4th floor.

Wauza karanga hukomea Kwa walinzi
 
Kaka njoo Tabora hadi kero, Wanazi tembeza sana, ikatokea umekaa zako sehemu utaona kero kwa kuulizwa kila mara na wanao zitembeza. Ziko mbichi, zaku kaanga, kuchemsha na maganda yake
Duuuhh, kumbe bado wapo
 
Tangu nilivyosikia kwamba wanaweka kemikali ili ziwe za moto kuanzia asubuhi mpaka jioni nikaacha kununua ,nanunua zile ambazo namuona akikaanga kwa mchanga wa baharini.
 
Back
Top Bottom