Kwanini biashara zetu zinakufa?

Kwanini biashara zetu zinakufa?

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Biashara zina sababu nyingi kufa ila kwa tafiti zangu kuangalia biashara zilizokufa ni hizi.

Wengi tunafanya biashara ila kuna vitu vinatufanya mpaka biashara inakufa kabisa kabisa na ulikuwa na biashara kubwa.

Sababu ni hizi:
Hakuna msimamo wa biashara madaraja na madaraja kwenye biashara:
ili jambo ndio linasabisha biashara nyingi kufa kutokana na misimamo ya biashara leo duka la jumla na rejareja kama ni maduka sawa.hii inafanya wateja kugeuka kununua kwa bei ya jumla kwenye duka la rejareja wakati duka la jumla limeanzisha kumfumo wa reja.

Mfano: Kuna kampuni kubwa hapa tanzania zilitakiwa kusupply product kwa wauzaji na wasibaki kuwa wauzaji ila mwisho wa siku unakuta kampuni inauza na wewe unauza tena kibaya kapunguza.

Sera mbovu za serikali na biashara
ili jambo limefanya kudestroy biashara nyingi na kuzipeleka kama sababu ya kwanza.

Mfano: Kipindi cha marehemu magufuli kuharibu mfumo wa biashara bila kujua kuna sheria na mtindo wake ikafikia tajiri na machinga wanauza sehemu moja.

TRA na Halmashauri
Hizi sehemu zimekuwa chapio kubwa kwa kuvuruga biashara kwa kisingizio cha mapato na bila kujua wanafanya nini!.

Mfano: Taasisi izi zimegeuza siasa na mitaji leo kodi ya asilimia 10 kwa mpangaji,na hawa ndio wanasabisha kuvuruga biashara za watu kama maeneo,rushwa na n.k

Mazoea na watu
ili jambo kwenye biashara linaleta shida sana kwenye biashara yani uwezi kufanya kazi bila kuwa na mazoea na watu na hawa ni viongozi,vigogo,polisi,idara,taasisi na n.k mwisho wa siku wanafungu lao kwenye biashara.

Mfano: wafanyabiashara wa vyombo vya usafiri wanafungu kwa ajili ya watu ijalishi umefanya kosa au ujafanya kosa !.

Kuvamiwa kwa biashara ijalishi ni nani
biashara za hapa kwetu zimekuwa bearish tu ili mradi watolee macho kama inalipa !.ndio maana unaona kila kinacho fanywa kama hakina ubunifu ili mradi.

Mfano: Leo mandonga kawa bondia mkubwa

Siasa za upande mmoja
Hili jambo kwa kweli. kuna sehemu mmiliki wa baa hataki ni kanyage baa yake kisa kujua nakosoa serikali.
 
Screenshot_20210719-152814_Instagram.jpg


Dudeksiiii
 
Bongo rushwa ndio chanzo cha matatizo yote tulionayo, tukifumua taasisi zote na kuanza upya na vijana safi kwa kukazia mianya ya rushwa tunaweza kwenda vizuri na sera zetu. Sasa sera inaongelea uadilifu watendaji ni wala rushwa. Ni ngumu sana!
 
Mleta mada jifunze kuandika bana. Si kiswahili si kingereza vyote unapuyanga
 
Mleta mada jifunze kuandika bana. Si kiswahili si kingereza vyote unapuyanga
Kwani nimeandika kichana! Sikiliza unacho kisoma ndio maana somo philosophy limekushinda au kama unafahamu basi ni CCM pure
 
Back
Top Bottom