NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-
Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, KIBABU kikasimama na kwenda Mbele,
Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla!
Mchungaji- Tuambie Babu Pingamizi Lako!
Babu-Nimeamua kuja mbele,kule nyuma sisikii vizuri!
Nime copy na ku paste.