Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Katika watu wazima milioni 30 hawakosekani wajinga laki 5.Wabongo walalamishi Sana.
Lini ulilazimishwa kuvitumia?
Taratibu Mzee, tukikaa na simu au computer zetu vyumbani mwetu tunahisi kama tumejificha tunaweza kutukana tu vyovyote. Usijisahau sana haina haja kutumia lugha ya aina hiyo, sijawahi hata kusikia Mbowe, Lissu hat Lema wakitamka hayo.Mnatawaliwa na juha unategemea nini?
Nadhani umeelewaUmeelewaje?
SawaPimbi kabisa.
Serikali wanapenda kuchukulia poa mambo madogo madogo kama haya, wenzao wana maana yao kupenyeza upuuzi wao ndani ya nchi yetu isiyofungamana na dini yoyote ya kuletewa.Yaani kwa bidhaa nyingi sana naziona zimeandikwa halal kwa lugha ya kiarabu na huku umechorwa msikiti kwa maana kwamba nchi hii ni ya kidini na ya kiarabu au nchi hii imeuzwa kwa waarabu mbona hata sielewi au nyingi wenzangu hamjawahi kukutana nazo?
Ila bidhaa za nguruwe sijawahi kuona kabisa naona nyama yao zile za viwandani hazijaandika kwamba sio halali na sijui kwanini tutaendelea kula kitu ambacho hata nchi haijadhibitisha kwamba sio halali na ni kweli nguruwe sio halali we endelea kula upate minyoo aina ya Ascaris lumbicodiea alisikika mlevi fulani
Hivi kuna chapa ya kafir zaidi ya msikiti?Wewe kanunue zilizopigwa chapa ya kafir utuachie bidhaa zetu halal🐼
Mkuu, samahani kama swali langu litakukwaza.....hivi unahisi una utimamu wa akili?Mnatawaliwa na juha unategemea nini?