wakuu.
ukienda uganda kwanza pesa yao ina thamani ndogo kuliko ya Tanzania
mfano tsh 1000 = ugsh 1510
change 1.51 na kuna wakati inafika hadi tsh 1000 ~ugsh 1570 .
bidhaa kuanzia mafuta ya kujipaka,nguo,viatu,magari,vipuri vya magari used.
mafuta petrol na disel bei ni rahisi mno.
najiuliza hawa watu hawana bandari ila sisi tunalazimika kwenda kununua bidhaa kwao na kulala kwenye mahotel yao.
wataalamu wa uchimi nisaidieni kunitoa matongotongo.