Tetesi: Kwanini bidhaa /vifaa vinazozalishwa nje vinaaminika kuliko bidhaa au vifaa vinavyotengenezwa nchini ??

Na vp upande wa soda ,coca-cola inasadikika kuwa na effects baada ya mda mrefu ,lakini bado inakubalika kulinganisha na bidhaa za ndani ,tatizo lipo wap?
Freemason ndo wakulaumiwa
 
Tanzania hatuwezi kuaminika maana hata mawaziri ma Prof kabisa tunaona wanatanya madudu.
Prof kalamaganda alikwenda kuchukua dawa ya covid kutoka kwa mjinga Fulani na ndege ya Kodi zetu.
Kuna huyu Prof. Mwingine anaeaini mikataba huku amefunga macho. Hao Ni ma Prof. Sijataja wabunge .......
Je MTU wa kawaida utamuamini?
 
Kuna mambo yetu tunatakiwa kuyaamini ,mfano kwenye suala la bunifu za kisayansi ,ambapo wabunifu wengi hawaaminiki Tanzania lakini wanaaminika nje na kupata uwekezaji mkubwa kutoka makampuni ya nje ...vp kuhusu hili unaonaje?
 
Sasa unataka ufananishe Coca-Cola na Mo Cola au Azam cola??

Haya madude wanatengeneza kama pombe za kichaga??
Tanga kuna Anjari (Healtho) test yake ni Unique na huipati popote, Tetesi za vijiweni ni kwamba Cocacola walimu approach kununua akachomoa mzee.
 
Jeans Za levis Na Wrangler zinatengenezwa Tanzania na zinaaminika Duniani kote.

Pengine ni uwezo tu Wa Watanzania kiuchumi ni mdogo hivyo kupelekea watu kutengeneza bidhaa zenye Quality ndogo kuendana na soko.
Hii ni kweli kabisa ,lakini Kuna watu wanaamini kununua vitu vya bei kubwa na kutokuamini vya nchini kisa vimetengenezwa Tanzania ...hili bado ni tatizo pia
 
Umaskini wetu tu ,Kuna kampuni Africa zinaanza kama start-ups za kawaida lakini still zimeweza kuwa kubwa ...wazungu wakikuona una kitu wanakupa Hela na wanakutumia kwa faida yao tu
 
Hii ni kweli kabisa ,lakini Kuna watu wanaamini kununua vitu vya bei kubwa na kutokuamini vya nchini kisa vimetengenezwa Tanzania ...hili bado ni tatizo pia
Vipo pia vitu vya Nje bei rahisi na Vya Tanzania bei kubwa na watu wananunua Vya Tanzania bei ikiwa kubwa
 
Jeans Za levis Na Wrangler zinatengenezwa Tanzania na zinaaminika Duniani kote.

Pengine ni uwezo tu Wa Watanzania kiuchumi ni mdogo hivyo kupelekea watu kutengeneza bidhaa zenye Quality ndogo kuendana na soko.
Kumbuka zile zinatengenezwa kwa viwango vya kuuzwa nje ya Tz na sio kwa kuuzwa na ndo maana bei yake huzidi 150,000 kwa jeans 1
 
Back
Top Bottom