mpongopongo
Member
- Nov 1, 2010
- 16
- 0
Tusubiri tuingie kwanza, never say neverCku nitafanikiwa kumpata wangu wa kumuoa hakika ctamdanganya kabisa labda yeye anidanganye.
Wanadanganywa miaka inaenda wanashindwa kujinasua, na umri ukienda wanaona wakirudi mtaani watakuwa wa umri wao washamalizwa hivo inabidi wang'ang'anie hapohapoKuna dada ni nyumba ndogo ya shemeji yangu yaani toka sijaolewa mpaka leo mwaka wa 8 bado wako wote. I fail to understand. Ni mzuri, hana mtoto. Sijuhi kama real wife anajua maana jamaa aishi kumsifia wife wake at the same time kwenye mitoko mingine huwa anakuwa na hiyo small.
To me naona huyo kimada ni looser maana jamaa ana maisha yake na mke ambaye ana kazi nzuri na watoto. Dada umri unaenda kiasi kwamba jamaa akimpiga chini itabidi atafute serengeti boy au atafute mume mwingine wa mtu.
Dada mwenyewe si masikini ana kazi nzuri, na sidhani hata kama amefuata pesa kwa huyo jamaa. Huwa nasikia hasira sana ninapokuwa nao outing ila ndio hivyo hayanihusu.
...Mkuu kinachowafanya wawang'ang'anie wanaume wenye wake zao ni uhakika wa matunzo, mapenzi ya kiutu uzima. lakini kumwambia awe na kavulana eti huenda kuna siku mambo yatakuwa mazuri hawana huo muda wa kusubiri mbichi ambazo hazijulikani zitaiva lini?πound:πound:πound:ndugu
wana jamii hili suala limekuwa likinitatiza binti mbichi kabisa kuwa na mausiano na mwanaume aliye oa kwanini asijiusishe na kijana mwenzake ladba ipo siku mambo yakwa mazuri......................