The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 8,082 Reaction score 17,838 Nov 28, 2019 #1 Mzuka! Ingependeza tungeiga hii makitu Black Friday kutoka kwa mabeberu ambayo ni kesho kuna punguzo la bei kwa kila bidhaa. Bongo ingekuwepo watu kesho tungechangamkia kununua magunia ya mahindi. Sasa hivi mahindi imeteka soko.
Mzuka! Ingependeza tungeiga hii makitu Black Friday kutoka kwa mabeberu ambayo ni kesho kuna punguzo la bei kwa kila bidhaa. Bongo ingekuwepo watu kesho tungechangamkia kununua magunia ya mahindi. Sasa hivi mahindi imeteka soko.
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Nov 28, 2019 #2 Wa kwanza
FRANC THE GREAT JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 5,500 Reaction score 8,060 Nov 28, 2019 #3 Sasa hiyo itakuwa Black Friday au Mahindi Friday?
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Nov 28, 2019 #4 Ingekuwa kweli kesho kibaigwa pangetema!lol
Koffi Annan JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 1,771 Reaction score 5,087 Nov 28, 2019 #5 tutajazana kariakoo kila mtu ananunua bidhaa lakkni hamna wauzaji
C Cute shy JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 1,189 Reaction score 1,292 Nov 28, 2019 #6 Ipo mbona? Nenda mlimani city maduka mengi yamebandika matangazo
jozzeva JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,193 Reaction score 1,830 Nov 28, 2019 #7 Umejuwaje mwana pande zetu wanasubiria kwa hamu zote.Piga banka moja kubwa sana mpaka mwakani mixer Nyama na Vimiminika.
Umejuwaje mwana pande zetu wanasubiria kwa hamu zote.Piga banka moja kubwa sana mpaka mwakani mixer Nyama na Vimiminika.
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Nov 28, 2019 #8 Mambo ni moto