Kwanini Bongo magari yapo bei juu sana?

Kwanini Bongo magari yapo bei juu sana?

Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo
Tatizo ni aina ya utawala tulionao hapa nyumbani.

Gari la aina hiyo hiyo Moja kwa Zambia unaweza ukainunua kwa gharama ya Tshs. 17 milioni tu, lakini kwa Tanzania utainunua kwa gharama ya Tshs. 25 milioni kwa sababu ya kubambikwa Kodi kubwa sana kutoka TRA.
 
Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo
Kodi mkuu. Bora hata ya bongo. kodi ya ethiopia ni noma mkuu.
 
Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo

Kwamba hujui namna kodi za "tiharaei" zilivyo pasua kichwa?
 
Licha ya kuwa tupo katika ukingo wa bahari lakini magari yapo bei juu sana kiasi kwamba gari za zamani wengi ndo tunatamba nazo
ishu syo gar mbei nkubwa ni makato ya TRA ndy balaaa kama unayo misamaa ya kodi na lesen ya mlipa kodi bs ww kuaagza gar autaweza kusumbuliwa
 
Back
Top Bottom