T TXGA JF-Expert Member Joined Apr 16, 2021 Posts 244 Reaction score 325 May 24, 2022 #1 Yaani kilimo ambacho kimiajiri wananchi asilimia 85% kimetengewa billion 751 wakati wizara ujenzi na uchukuzi imetengewa TRILION 03 sasa hapa kuna nini? Utakuwa umeondoa umaskini wa hiyo population ya 85% kivipi hapo?
Yaani kilimo ambacho kimiajiri wananchi asilimia 85% kimetengewa billion 751 wakati wizara ujenzi na uchukuzi imetengewa TRILION 03 sasa hapa kuna nini? Utakuwa umeondoa umaskini wa hiyo population ya 85% kivipi hapo?