johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe jamaa!!Huko World Bank ni mbali sana. Waanze kwanza kuupinga umoja wa mabunge duniani. Wakimalize na hilo waende kumpinga Pompeo.
Hapa tunazungumzia benki ya Dunia bwashee!Kwa akili zako CCM mnaweza kujibu hoja awamu hii? Ingekuwa wanaweza si wangejibu za Lissu badala ya kumpiga risasi? Si mngemjibu BEN SAANANE kuliko kumpoteza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina bwashee!
Eti wanadai ni sisi tu wa JF tunaojua pini ya Bashite kwenda duniani. Huko kitaa hawayajui.Huko World Bank ni mbali sana. Waanze kwanza kuupinga umoja wa mabunge duniani. Wakimaliza na hilo waende kumpinga Pompeo.
Mnama naona upo bize kufanya "Spinning" ya mambo. Bunge limejiingiza kwenye jambo lisilo lake. Wenyewe walitakiwa wawaulize serikali na siyo kupambana na Mbunge mwenzao.Amina bwashee!
Huo ndio ukweli wenyewe!Eti wanadai ni sisi tu wa JF tunaojua pini ya Bashite kwenda duniani. Huko kitaa hawayajui.
Bwashee jambo siyo lake wakati ile barua ina nembo ya bunge!!Mnama naona upo bize kufanya "Spinning" ya mambo. Bunge limejiingiza kwenye jambo lisilo lake. Wenyewe walitakiwa wawaulize serikali na siyo kupambana na Mbunge mwenzao.
Hao ndiyo aina ya watu wanaodhani kwamba wanaijua sana dunia. Wanachojua wenyewe ni kuwa asubuhi au jioni wanapo simama basi pale kinaishia kivuli chao hapo ndipo zilipo kingo za dunia.Eti wanadai ni sisi tu wa JF tunaojua pini ya Bashite kwenda duniani. Huko kitaa hawayajui.
Kila mbunge anaruhusiwa kutumia nembo ya Bunge kwenye mawasiliano yake ya kibunge. Mbona bendera zao zina nembo ya Bunge na hamshangai?Bwashee jambo siyo lake wakati ile barua ina nembo ya bunge!!
Umetoa bonge la wazo. Ngoja mtu wao johnthebaptist akawaambie.Hii kazi akipewa Kibajaji bin Lusinde ataifanya kwa ufasaha mno.
Siku hizi huko vijijini usiku watu wanakusanyika wanaangalia taarifa ya habari,kuna kijiji kimoja kinaitwa Mwisi,nilishangaa nilipoenda nikakuta watu wanagonga kahawa huku wakicheki BBC dira ya dunia,nilipouliza nikaambiwa mbona huo utaratibu wanao muda mrefu,huwa wanaanza na chanell ten saa 1,saa 2 wanaweka azam news na saa 3 wanamalizia na Star tv BBC dira ya dunia!Huo ndio ukweli wenyewe!
Kibajaj na Zitto walikuwa wajumbe wa kamati kuu ya Chadema!