Kwanini Buza kunashambuliwa sana?

Kwanini Buza kunashambuliwa sana?

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Naomba kujua tafadhali, maana kila kitu kibaya utasikia Buza, mademu wabovu wanahusishwa na kutokea buza. Kifupi kila mtu wa ovyo atahusishwa na kutokea Buza.

Kunani Buza? Wengine tupo huku mpitimbi mtujuze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Buza hiyo.
_status_4c8f0f27df454692ac4bbb7ebb84f4f3.jpeg
 
Wee sasa huko Mpitimbi ndo ufananishe na buza? Aaaah Mpitimbi kwa wajanja bhan, ungesema Makwaya labda mweeeeh, maana hata Namatuhi kupo shwari. Uwiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom