Evidence?!
Kwasababu ni wakazi wa BuzaNaomba kujua tafadhali, maana kila kitu kibaya utasikia Buza, mademu wabovu wanahusishwa na kutokea buza.. kifupi kila mtu wa ovyo atahusishwa na kutokea buza. Kunani buza?? Wengine tupo huku mpitimbi mtujuze..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] Buza hiyo. View attachment 1301370
Acha uongoBuza ni bonge moja la chimbo.
Kwa upande wa totoz, mpaka sasa Buza haijaniangusha.
Kwanza utuambie wewe ni mkazi wa buza ama la?!Naomba kujua tafadhali, maana kila kitu kibaya utasikia Buza, mademu wabovu wanahusishwa na kutokea buza. Kifupi kila mtu wa ovyo atahusishwa na kutokea Buza.
Kunani Buza? Wengine tupo huku mpitimbi mtujuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wivu tu eti kwanza hakuna shida ya usafiri.😀😀Evidence?!
Maana kuna mikoroshini,tandika,vituka, mbagala kwenye vigoma n.k
Kwann wawe buza?!
Hawajui hilo buza kama ubungo bus terminal kuna daladala za mitaa yote[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ni wivu tu eti kwanza hakuna shida ya usafiri.[emoji3][emoji3]
Halafu kwanini umenitelekeza?Hawajui hilo buza kama ubungo bua terminal kuna daladala za mitaa yote[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hamna ebu ngoja nikague saHalafu kwanini umenitelekeza?
Kwanini kwa mpalange na rulenge panahusianishwa sana na tigo