Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Feb 14, 2022 #1 Kwanini bwawa la Mtera ni kubwa kuliko Kidatu lakini production yake ni 80MW wakati Kidatu ambalo ni dogo kuliko Mtera linatoa 200MW Mtera Dam Kidatu Dam
Kwanini bwawa la Mtera ni kubwa kuliko Kidatu lakini production yake ni 80MW wakati Kidatu ambalo ni dogo kuliko Mtera linatoa 200MW Mtera Dam Kidatu Dam
S sirmweli JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 1,601 Reaction score 718 Feb 14, 2022 #2 Mtera lilijengwa Ili kuzuia mafuruko baadae tanesco wakaona kuna fursa ya kuzalisha umeme. Ndo maana lipo chini ya bonde la pangani.
Mtera lilijengwa Ili kuzuia mafuruko baadae tanesco wakaona kuna fursa ya kuzalisha umeme. Ndo maana lipo chini ya bonde la pangani.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Feb 14, 2022 Thread starter #3 sirmweli said: Mtera lilijengwa Ili kuzuia mafuruko baadae tanesco wakaona kuna fursa ya kuzalisha umeme. Ndo maana lipo chini ya bonde la pangani. Click to expand... Kulikuwa na mafuriko wapi mkuu, dadavua tafadhali
sirmweli said: Mtera lilijengwa Ili kuzuia mafuruko baadae tanesco wakaona kuna fursa ya kuzalisha umeme. Ndo maana lipo chini ya bonde la pangani. Click to expand... Kulikuwa na mafuriko wapi mkuu, dadavua tafadhali
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Feb 14, 2022 #4 Sometimes height ya maporomoko ya maji huchangia sana kwenye uzalishaji wa umeme maporomoko yakiwa marefu umeme mwingi tofauti na mafupi
Sometimes height ya maporomoko ya maji huchangia sana kwenye uzalishaji wa umeme maporomoko yakiwa marefu umeme mwingi tofauti na mafupi