Kwanini CCM haitaki kubadili katiba ya nchi

Kwasababu wanatuoana sisi ni nyani
Kwa akili zako unafikiri hao wanaweza kutoboa meli yao wanayosafiria wao wenyewe ili maji yaingie kwenye meli?? Unaona jambo hili linawezekana kweli ???? Kumbuka: Haki daima huwa inapiganiwa.

"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."
Martin Luther King Jr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…