Kwanini CCM hawahangaiki kabisa na Katiba Mpya?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu kama Uchaguzi wa 2025 tutakuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi mbona CCM hawatoi hamasa yoyote kwa wanachama Wao!

Je, Katiba Mpya siyo kipaumbele cha CCM?

Jumaa kareem!
 
Huo ni mwiba mchungu mnoo kwenu, mnatamani hicho kikombe mkiepuke mpaka mwisho wa dunia but haitowezekana!!
 
Aliwahi kusema mtu mmoja kuwa ''Katiba Mpya haitawatoa CCM madarakani wale haitaiingiza upinzani madarakani''. Katiba mpya itatoka kwa mataka ya sisi wananchi wenyewe.
 
Nimekuelewa!
 
Nauliza tu kama Uchaguzi wa 2025 tutakuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi mbona CCM hawatoi hamasa yoyote kwa wanachama Wao!

Je, Katiba Mpya siyo kipaumbele cha CCM?

Jumaa kareem!
Iliyopo ndiyo imemfikisha pale alipo, it favours him , why bother with katiba? hana uzalendo kuwa kuwe na Katiba itakayoleta fairness kwa wote
 
Sasa nyie Chadema mnaweza kutuletea Katiba mpya ilhali ya kwenu hapo ufipa st ni tiamaji tiamaji?
 
tiamaji tiamaji?
We need evidence of your assertions! Leta vifungu vya tia maji tia maji.

Chadema haina katiba yake, inataka katiba ya Warioba. Uwe unaelewa, mbona unazidi kutia mashaka na uelewa wako. Lini chadema ilisema inatunga katiba ya nchi?
 
we need evidence of your assertions! Leta vifungu vya tia maji tia maji.

Chadema haina katiba yake, inataka katiba ya Warioba. Uwe unaelewa, mbona unazidi kutia mashaka na uelewa wako. Lini chadema ilisema inatunga katiba ya nchi?
Nazungumzia Katiba ya Chama chenu!

Ambayo akina Halima Mdee wameipeleka mahakamani
 
Nauliza tu kama Uchaguzi wa 2025 tutakuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi mbona CCM hawatoi hamasa yoyote kwa wanachama Wao!

Je, Katiba Mpya siyo kipaumbele cha CCM?

Jumaa kareem!
Kutokuwepo katiba inayofaa ni faida kwao kwani hawabanwi kwenye uhalifu waufanyao.
 
Hawataki kuwa wanafki katika hilo la katiba, kama wahubiri wasichokiamini.
 
Back
Top Bottom