johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimekuelewa!Aliwahi kusema mtu mmoja kuwa ''Katiba Mpya haitawatoa CCM madarakani wale haitaiingiza upinzani madarakani''. Katiba mpya itatoka kwa mataka ya sisi wananchi wenyewe.
Iliyopo ndiyo imemfikisha pale alipo, it favours him , why bother with katiba? hana uzalendo kuwa kuwe na Katiba itakayoleta fairness kwa woteNauliza tu kama Uchaguzi wa 2025 tutakuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi mbona CCM hawatoi hamasa yoyote kwa wanachama Wao!
Je, Katiba Mpya siyo kipaumbele cha CCM?
Jumaa kareem!
Sasa nyie Chadema mnaweza kutuletea Katiba mpya ilhali ya kwenu hapo ufipa st ni tiamaji tiamaji?Iliyopo ndiyo imemfikisha pale alipo, it favours him , why bother with katiba? hana uzalendo kuwa kuwe na Katiba itakayoleta fairness kwa wote
We need evidence of your assertions! Leta vifungu vya tia maji tia maji.tiamaji tiamaji?
Nazungumzia Katiba ya Chama chenu!we need evidence of your assertions! Leta vifungu vya tia maji tia maji.
Chadema haina katiba yake, inataka katiba ya Warioba. Uwe unaelewa, mbona unazidi kutia mashaka na uelewa wako. Lini chadema ilisema inatunga katiba ya nchi?
nakuja ngoja nifanye kazi kidogoNazungumzia Katiba ya Chama chenu!
Ambayo akina Halima Mdee wameipeleka mahakamani
Kutokuwepo katiba inayofaa ni faida kwao kwani hawabanwi kwenye uhalifu waufanyao.Nauliza tu kama Uchaguzi wa 2025 tutakuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi mbona CCM hawatoi hamasa yoyote kwa wanachama Wao!
Je, Katiba Mpya siyo kipaumbele cha CCM?
Jumaa kareem!