matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mko vzr aisee.CCM POLITICS ni Grown up Politics
Hili LA kukatwa liangaliwe kwa Akili pevu.Wanaongea kwa vitendo huoni wapinzani wanavyokatwa kila mahali
Kiwanga nayeye sio mkomavu?Hili LA kukatwa liangaliwe kwa Akili pevu.
Mbona wale wabunge wakomavu hawakatwi? Mbowe,lema, msigwa,mdee etc
Inamanisha wenye uelewa upinzani ni wabaguzi na kule hakuna Team work.
Kwa nini wasingetafuta mawakili wa chsma kusaidia wageni ns wasio na uwezo kujaza kwa uhakika.
Na Kama wanaonewa si wakati refaa mkuu
Sio tabia take kukaa kimya hivi.Jiwe hakutegemea kama atapata ushindani awamu hii tangu nimemsikia aliposema ataibadilisha Tanzania kuwa kama ulaya mpaka sasa kimya
Amepima upepo ameona hana uwezi kabisa wa kushindana na lisu kwa sera nawaza sijui jiwe atawaambia nini wananchi
Mkuu hii strategy ni nzuri hata katika maisha ya kila siku.Matendo ni zaidi ya maneno!
Kwa nini upige kelele wakati vitendo vinafanya kazi kikamilifu!
Have you heard of the phrase " empty vessels make the most noise"
Mkuu hii strategy ni nzuri hata katika maisha ya kila siku.
Hawakatwi mkuu wanauza majimboHili LA kukatwa liangaliwe kwa Akili pevu.
Mbona wale wabunge wakomavu hawakatwi? Mbowe,lema, msigwa,mdee etc
Inamanisha wenye uelewa upinzani ni wabaguzi na kule hakuna Team work.
Kwa nini wasingetafuta mawakili wa chsma kusaidia wageni ns wasio na uwezo kujaza kwa uhakika.
Na Kama wanaonewa si wakati refaa mkuu
Washaonge miaka 5 yote sasa hivi wanaratibu utekelezaji wa hujuma.Hata kwenye mapambano ya ndondi zisizo rasmi mtaani jamaa ambaye huwa haongei sana au kujibujibu huwa ana uhakika na ushindi. Muongeaji sana huwa anakula ngumi moja tu chali anazimia na kupepewa.
Nadhani hizi ndio sababu:
1: Wamekomaa hawahitaji kuongeaongea.
2: Wanaamini katika mikakati yao kuwa inatekelezeka.
3: Wametafiti wapinzani wao na kugundua hawana uwezo kabisa.
4: Wamejiandaa ndio maana hakuna watu wao wanaenguliwa kwa kutokukidhi vigezo.
5: Wanaamini Mgombea wao anasubiriwa kwa hamu na wananchi wampongeze kwa makubwa aliyowafanyia.
Kwa hili nawapongeza. Mambo yenu yameenda kisomi awamu hii.