Uchaguzi 2020 Kwanini CCM hawaongei sana Uchaguzi huu wakati wana mengi ya kusema?

Nao
Jiwe hakutegemea kama atapata ushindani awamu hii tangu nimemsikia aliposema ataibadilisha Tanzania kuwa kama ulaya mpaka sasa kimya
Amepima upepo ameona hana uwezi kabisa wa kushindana na lisu kwa sera nawaza sijui jiwe atawaambia nini wananchi
Naona kushindana na kushindwa kwenu ni sifa machadema kweli ninyi ni malofa
 
Sasa mtaongea nini wakati mna tuhuma za kutisha za mauaji
 
Kwa hiyo umekuja kuuliza swali ukiwa na majibu mfukoni?
Asiyeona yanayoendelea huko Tanzania,basi atakuwa ni kipofo wa macho,akili,nafsi na roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…