Ili iwe rahisi kuhonga hao wachache..Nakumbuka mwaka 2015 kurudi nyuma wanachama wote wa CCM walikuwa wana haki ya kuchagua wagombea ubunge na udiwani, kuanzia mwaka 2020 ikawa wajumbe tu ndio wana haki ya kuchagua wagombea,
Sasa mwaka 2025 nasikia wagombea wanachaguliwa kwanza kwenye ngazi ya mkoa ndipo wajumbe wanapewa kuchagua kati ya majina matatu tu!
Haya mabadiliko ya kuondoa wanachama wote kuchagua wagombea yalifanywa kwa sababu zipi hasa?
Si kuna viti maalumu tayari?!Ongezea hapo kwamba katika hayo majina 3...lazima jina la mgombea wa jinsia ya Samia lazima li-prevail walau jina moja kuendelea..
Sasa sijajua je mshindi atakayeibuka katika yale majina 3 ndio atakuwa amemaliza kazi?
Au bado kuna vikao vingine vya juu zaidi vya mchujo beyond regional level.
Hem jaribu kufuatilia vizuri.Si kuna viti maalumu tayari?!
Iko hivi, jinsi ambavyo uchaguzi wa serikali ya mtaa ulivyo, ndio utakuwa wa madiwani na wabunge na urais.Nakumbuka mwaka 2015 kurudi nyuma wanachama wote wa CCM walikuwa wana haki ya kuchagua wagombea ubunge na udiwani, kuanzia mwaka 2020 ikawa wajumbe tu ndio wana haki ya kuchagua wagombea,