Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Nimekuwa nikisikia hili jina kitambo Sasa. Najua hili jukwaa la Siasa.
Kwanini CCM wanaitwa MATAGA?
Binafsi sifurahishwi na hili jina, japo sijui maana halisi.
Kwanini CCM wanaitwa MATAGA?
Binafsi sifurahishwi na hili jina, japo sijui maana halisi.