F Freed Freed JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 6,547 Reaction score 7,167 Mar 12, 2023 #1 Nimekuwa nikisikia hili jina kitambo Sasa. Najua hili jukwaa la Siasa. Kwanini CCM wanaitwa MATAGA? Binafsi sifurahishwi na hili jina, japo sijui maana halisi.
Nimekuwa nikisikia hili jina kitambo Sasa. Najua hili jukwaa la Siasa. Kwanini CCM wanaitwa MATAGA? Binafsi sifurahishwi na hili jina, japo sijui maana halisi.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Mar 12, 2023 #2 Make Tanzania Great Again
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Mar 12, 2023 #3 Freed Freed said: Nimekuwa nikisikia hili jina kitambo Sasa. Najua hili jukwaa la Siasa. Kwanini CCM wanaitwa MATAGA? Click to expand... Kumbuka pia wanajiita chawa na chawa ni watagaji wazuri😀😀😀
Freed Freed said: Nimekuwa nikisikia hili jina kitambo Sasa. Najua hili jukwaa la Siasa. Kwanini CCM wanaitwa MATAGA? Click to expand... Kumbuka pia wanajiita chawa na chawa ni watagaji wazuri😀😀😀
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 3,983 Reaction score 10,034 Mar 12, 2023 #4 Kifupi cha Make Tanzania great again, walikopi kwa tramp enzi za mwendazake
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 Mar 12, 2023 #5
F Freed Freed JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 6,547 Reaction score 7,167 Mar 12, 2023 Thread starter #6 jay-millions said: Kifupi cha Make Tanzania great again, walikopi kwa tramp enzi za mwendazake Click to expand... Sikulijua hili, Bora nilifurahie jina hili sasa.
jay-millions said: Kifupi cha Make Tanzania great again, walikopi kwa tramp enzi za mwendazake Click to expand... Sikulijua hili, Bora nilifurahie jina hili sasa.