Kwanini CCM wanataka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

Kwanini CCM wanataka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau

1. Wanataka waendelee kuiba kura
2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini
3. Wanaogopa ushindani
4. Hawataki katiba mpya
5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo
6. Hawataki demokrasia

Soma Pia: Asilimia kubwa ya WanaCCM wanataka Mbowe abaki Mwenyekiti CHADEMA. Hawamtaki Lissu
 
Back
Top Bottom