K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Jan 16, 2025 #1 Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau 1. Wanataka waendelee kuiba kura 2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini 3. Wanaogopa ushindani 4. Hawataki katiba mpya 5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo 6. Hawataki demokrasia Soma Pia: Asilimia kubwa ya WanaCCM wanataka Mbowe abaki Mwenyekiti CHADEMA. Hawamtaki Lissu
Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau 1. Wanataka waendelee kuiba kura 2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini 3. Wanaogopa ushindani 4. Hawataki katiba mpya 5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo 6. Hawataki demokrasia Soma Pia: Asilimia kubwa ya WanaCCM wanataka Mbowe abaki Mwenyekiti CHADEMA. Hawamtaki Lissu
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 1,653 Reaction score 3,336 Jan 16, 2025 #2 Mfumo wake wa uongozi hauna madhara kwao