Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mimi naona CHADEMA WAKO MAKINI SANA KATIKA NIDHAMU NA MAADILI kulliko chama chochote cha siasa, hawa jamaa haaogopi wadhifa wala cheo chako ndani ya chama, humu hakuna mtu alie taasisi, wote ni sawa chini ya katiba yao.Kwanini CCM wasiwafukuzilie mbali wale wanaoonekana kukivuruga chama? Au ndio tuseme kuwa hao wanaoleta msukosuko ndio waliokishikilia chama madarakani? Au CHADEMA ndio imara kuliko CCM katika kudiscipline wale wanaoenda kinyume na katiba ya chama?
Chadema family (mtei +mbowe) is above katiba yao...thubutu uone..lol acha kuzuga watu.hata mimi naona CHADEMA WAKO MAKINI SANA KATIKA NIDHAMU NA MAADILI kulliko chama chochote cha siasa, hawa jamaa haaogopi wadhifa wala cheo chako ndani ya chama, humu hakuna mtu alie taasisi, wote ni sawa chini ya katiba yao.