Kwanini CCM wasiige walichofanya CHADEMA?

Sidhani kama ndani ya CCM kuna mtu mwenye uwezo wa kukemia uovu kwani wote ni waovu. Utatoaje boriti kwenye jicho la mwenzako na kibanzi kwenye jicho lako ukioni? hahahaaaaaa, Wakiweza hapo tutapata Tanzania bila mafisadi.

Amani iwe nanyi
 
Kwanini CCM wasiwafukuzilie mbali wale wanaoonekana kukivuruga chama? Au ndio tuseme kuwa hao wanaoleta msukosuko ndio waliokishikilia chama madarakani? Au CHADEMA ndio imara kuliko CCM katika kudiscipline wale wanaoenda kinyume na katiba ya chama?
hata mimi naona CHADEMA WAKO MAKINI SANA KATIKA NIDHAMU NA MAADILI kulliko chama chochote cha siasa, hawa jamaa haaogopi wadhifa wala cheo chako ndani ya chama, humu hakuna mtu alie taasisi, wote ni sawa chini ya katiba yao.
 
Chadema family (mtei +mbowe) is above katiba yao...thubutu uone..lol acha kuzuga watu.
 
chadema hakuna umakini wowote.ukikosana na mbowe tu kwaheri sasa ndo umakini huo?kweli watanzania kazi tunayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…