Kwanini CHADEMA haijawahi KURUDIA mgombea Urais?

Huku mtaani, wananchi wanasema, miaka mitatu ya huyu, ni kama 10 hivi!!

Mitano inatosha, kama Kweli ni waumini wa DEMOKRASIA kama CHADEMA.
mtaani wapi au ndani kwako? Maana tuliopo mtaani hatuyasikii uyasemayo,angalia sana huenda wanao ndani kwako hawakutaki kisa unasubiri serikali ikuletee hela badala ya fursa na miundo mbinu bora na wezeshi.
 
SIJUI WAMEKOMAA SEHEMU GANI HAO CHADEMA WAKAT MWENYEKITI ANAKARIBIA KUANZA KUFUNGWA NEPI KWA UZEE AKIWA MWENYEKITI HATAKI KUACHIA MADARAKA HALAFU MNASEMA WAJIFUNZE KWA CHADEMA?? UJINGA HUO UTAKUWA
Tuongelee mgombea Urais, CCM=10 yrs, while CDM=5years per each election period.
 
Hujawaelewa,

Wamesema watahakikisha TUME HURU ya UCHAGUZI inapatikana kabla ya kuingia uchaguzi wowote!!
Hilo HALIWEZEKANI, kamwe CCM haiwezi ondolewa madarakani kupitia SANDUKU LA KURA.
 
Hilo HALIWEZEKANI, kamwe CCM haiwezi ondolewa madarakani kupitia SANDUKU LA KURA.
Haiondoki hata kama wananchi wakiamua?

Mbona kwenye ubunge, CCCM imeangushwa mara nyingi tu majimbo mbalimbali?
 
Haiondoki hata kama wananchi wakiamua?

Mbona kwenye ubunge, CCCM imeangushwa mara nyingi tu majimbo mbalimbali?
Ile inaitwa chama cha MAPINDUZI, njia pekee ya kuiondoa CCM ni mapinduzi.

Hata wabunge huwa CCM inaamua upinzani wapewe viti vingapi ili kukidhi vigezo vya kupewa misaada na baadhi ya wahisani.

Wanaoshinda ubunge ila hawatangazwi kutokea upinzani ni wengi tu.

NB. Vyama vyote ni mali ya CCM ila baadhi ya wapinzani wa nafasi za chini(Wasio viongozi wakuu wa vyama hivyo) ni WAPINZANI wa kweli.
 
Chadema ni chama cha utafiti, hata 2015 utafiti ulionensha Mzee lowasa alikua juu ya Mzee slaa kisiasa,
 
Nje ya mada,ni muhimu chadema kujenga makao makuu yenye hadhi
CCM ilipora Mali za umma vikiwemo viwanja, majengo nk nk.

Nionyeshe CCM Ilinunua lini kiwanja na kujenga ofisi popote!
 
Huwa wanabahatisha, wagombea baada ya kipigo hawakubali kurudi tena ndo maana hukumbilia ubunge. Mbowe, Slaa baada ya kipigo walikimbilia ubunge.
 
Huwa wanabahatisha, wagombea baada ya kipigo hawakubali kurudi tena ndo maana hukumbilia ubunge. Mbowe, Slaa baada ya kipigo walikimbilia ubunge.
Yaweza kuwa ,kubadili wagombea Urais Kila baada ya 5 yrs, ndiyo Siri inayowafanya wakubalike sana na wananchi,

CCCM wangeiga hii kitu.
 
Ndo mkubali, CDM imewaacha mbali kidemokrasia.

Wao, Kila baada ya miaka 5 wanatuletea mgombea mpya na makaratasi yake.
Acha unyumbu wewe, mbowe angeshinda urais 2005 ina maana wangemweka Dr Slaa 2010 agombee urais?
Uenyekiti tu mnaambiwa sumu haionjwi je urais?
Hamna cha demokrasia wala Nini. Walafi hawakupata urais Hadi leo ayatola mbowe angekuwa rais!
 
We ni poyoyo tu huna unalolijua. Huyo m/kiti wenu mtambadilisha lini. Hiyo ni SACOSS ya Mbowe hakuna chama hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…