"Zao la korosho pekee linatutosha sana watu wa kusini kuondosha umasikini lakini chama tawala hawataki watu wa Kusini tuondokane na umasikini. Sasa dawa yao ni kuwaondosha madarakani" Isihaka Mchinjita ( @Isihakamchinji1 ) Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mkoa wa Lindi.
https://t.co/RLYYxU4KGP