Ponda anatoa, lkn pia waislam hawawalalamikii chadema lkn chadema wanawawalalamikia waislam. Why?Kwa nini viongozi wa kiislamu hawatoi tamko kuhusu Chadema?
Amandla...
Mpuuzi. Leo lema kasema waislam hawapigi kelele kwenye reform no election. Yeye kapiga lini kwa ajili ya waislam?Stupid, you guys mnajikutaga kina nani hasa? Pumbafu. Why should they do for u? Yaani waachane na mambo ya msingi watu wakae na kuwafikiria watu ambao mnapenda shari? Mna kera sana
Na sisi hatutaki no reform no election, kila mtu abebe mzigo wake, ukimshinda auacheHatutaki nchi yetu ijiunge na OIC,
Hatutaki mahakama ya kadhi nchini,
Hatutaki utawala wa sharia
Msimamo wa BAKWATA unajulikana.Na sisi hatutaki no reform no election
Hata wa chadema ktk maswala ya waislam unajulikanaMsimamo wa BAKWATA unajulikana.
Africa mashariki ni ukanda wa Christianity hata bakwata imoWakati wa mahakama ya kadhi
Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa
Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?
Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.
Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Umechelewa, Sheikh Mwaipopo alishazungumza.Na sisi hatutaki no reform no election, kila mtu abebe mzigo wake, ukimshinda auache
Ndio maana maskini? Malalamishi ya haki za binadam zipo juu?Africa mashariki ni ukanda wa Christianity hata bakwata imo
Wasilalamike wakati wao hawapigi keleleMambo ni kusaidiana
Ngoja niishie hapa, hamkawi kuchoma mtandao wa simu bureMpuuzi. Leo lema kasema waislam hawapigi kelele kwenye reform no election. Yeye kapiga lini kwa ajili ya waislam?
Hata lema kaongeaUmechelewa, Sheikh Mwaipopo alishazungumza.
Ponda anazungumzia zaidi waislamu kwa kutumia platform ya Chadema.Ponda anatoa, lkn pia waislam hawawalalamikii chadema lkn chadema wanawawalalamikia waislam. Why?
Wa Ukrain vs Russia?Ngoja niishie hapa, hamkawi kuchoma mtandao wa simu bure