Umemsikia lema leo?Ponda anazungumzia zaidi waislamu kwa kutumia platform ya Chadema.
Lakini una hoja kuhusu Chadema kulalamikia waislamu maana inajenga hisia za udini bila sababu. Wanatakiwa kuacha kuangalia ushiriki wa watu kulingana na dini zao.
Amandla ..
Ukakosa mambo na akili zako zitazidi kudumaaHuwa simsikilizi.
Amandla...
CCM mbona ndiyo imewafanyia hayo yote na bado mnaikumbatia? Elimu Elimu Elimu, alisikika akisema marehemu lowassaWakati wa mahakama ya kadhi
Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa
Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?
Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.
Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Kwakuwa waislam hawauwawi kwenye chaguzi na wakigombea hawaenguliwi. Haya mano reforms No election ni CHADEMA tu.Ponda anazungumzia zaidi waislamu kwa kutumia platform ya Chadema.
Lakini una hoja kuhusu Chadema kulalamikia waislamu maana inajenga hisia za udini bila sababu. Wanatakiwa kuacha kuangalia ushiriki wa watu kulingana na dini zao.
Amandla ..
Ila Mr. Kibao aliuawa na alikuwa muislamu na Chadema.Kwakuwa waislam hawauwawi kwenye chaguzi na wakigombea hawaenguliwi. Haya mano reforms No election ni CHADEMA tu.
Lema atakua alipitiwa tu,msameheWakati wa mahakama ya kadhi
Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa
Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?
Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.
Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Ameeen na ndivyo ilivyoHatutaki nchi yetu ijiunge na OIC,
Hatutaki mahakama ya kadhi nchini,
Hatutaki utawala wa sharia
Hata wa chadema ktk maswala ya waislam unajulikana
My beloved Tanganyika!😪 imani inapokuwa gereza la uhuru ni shida sanaWakati wa mahakama ya kadhi
Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa
Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?
Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.
Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Nchi ngumu sana hiiWakati wa mahakama ya kadhi
Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa
Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?
Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.
Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Kama chadema haina wanachama waislam na inachama wakiristo tu, matatizo ya waislam sio yao ni ya waislam tu, basi waendelee kuwapazia sauti wakiristo tuKwakuwa waislam hawauwawi kwenye chaguzi na wakigombea hawaenguliwi. Haya mano reforms No election ni CHADEMA tu.
Chadema ya sasa inatumia nguvu kubwa kujinasibisha na Kanisa Katoliki Tanzania wakiamini labda watawasaidia kuingia madarakani. Ndio maana Leo Wana Chadema wanatukana dini zingine. Mara watukane washabiki wa Simba na Yanga. Lakini huwezi kuwasikia wakiwasema vibaya Wakatoliki zaidi ya kusifia kila kitu chao!Wakati wa mahakama ya kadhi
Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa
Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?
Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.
Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Huwezi kutoa matamko ya kila hoja utajiondoa kwenye reli wanawaachieni nyie mhangaike na kila hojaWakati wa mahakama ya kadhi
Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa
Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?
Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.
Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Hoja hii ilikua hot kipindi flan kama ilivyo hii ya no reform lkn chadema ikawa kimya. Leo lema anawalumu waislam kwa sababu ya ukimya wao ktk swala la lao. Aache double standardHuwezi kutoa matamko ya kila hoja utajiondoa kwenye reli wanawaachieni nyie mhangaike na kila hoja
Lete video au audio tusikilize ili tukuaminiHivi kuna watu wipiga kelele juu ya Mashekhe wa Uamsho kama Chadema ndani ya bunge au ukikuwa bado kwenye boxer ya babako? Tena kumbuka aliyewaweka lupango ni Muislamu mwenzako Jakaya Kikwete? Wewe jamaa una upumbavu mwingi sana unachowaza muda wote ni kuichafua Chadema tu, wameshindwa wenye mamlaka utaweza wewe kajamba nani.