Pre GE2025 Kwanini CHADEMA Kanda ya Kaskazini hawafanyi Uchaguzi wa Mwenyekiti?

Pre GE2025 Kwanini CHADEMA Kanda ya Kaskazini hawafanyi Uchaguzi wa Mwenyekiti?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA sio kama nyie CCM mnaobadilisha Viongozi wa kitaifa kila mwaka. Makatibu wenezi kila mwaka wapya mara Katibu mkuu mpya kila mwaka. CCM mnachekesha.
 
Kanda zote za Chadema zimeshafanya chaguzi za Viongozi wake isipokuwa Kanda ya Kaskazini pekee

Mwenyekiti wa sasa wa Kanda ya Kaskazini ni mh God bless Lema lakini muda wake wa kikatiba umekwisha

Ni hilo tu 🐼
Kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, muda ukifika tutakuletea ratiba
 
Back
Top Bottom