johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hii slogan Magufuli alikuwa na hati miliki nayo. Itabidi uanze kuilipiaMaendeleo hayana vyama.
Chadema iogopwe ina nini?CHADEMA hawamwogopi mtu, wao ndio wanaogopwa na CCM yote pamoja ni vabaraka wao.
Hawapendi kulipa Kodi. Hilo tuu.Vijana wa Chadema ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dr Mpango kuwa makamu wa Rais.
Je, ni kwa sababu amewashauri wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?
Kila zama na kitabu chake!
Maendeleo hayana vyama.
Acha tabia ya kuchungulia ndugu zako wa kike kunako wewe.Una ubaridi wewe...
Amegeuka kuwa chatu au jini mpaka wamuogope?Vijana wa Chadema ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dr Mpango kuwa makamu wa Rais.
Je, ni kwa sababu amewashauri wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?
Kila zama na kitabu chake!
Maendeleo hayana vyama.
Andika lugha unayoifahamu Kuna watu watatutafsiria. Sasa unamaanisha nini?Kalibu Kigali umeheshiwa weweee
Mkuu CHADEMA kutompenda Dr.Mpango is expected,he is a no nonsense person,a nationalist and a leader who will stand firm against anybody who will dream of stealing our resources.Vijana wa Chadema ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dr Mpango kuwa makamu wa Rais.
Je, ni kwa sababu amewashauri wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?
Kila zama na kitabu chake!
Maendeleo hayana vyama.