Pre GE2025 Kwanini CHADEMA Wanamuogopa sana David Kafulila?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini kafulila wa eskrow aliituhumu serikali ya ccm kuiba na kugawana fedha za wananchi

Wenye akili Tujadili hili la wizi kwanza kuliko hoja yako dhaifu ya chadema
Waliohusika kwenye scandal hiyo waliwajibika na kuwajibishwa. Ikumbukwe ya kuwa katiba ya CCM yenyewe inasema kuwa rushwa ni adui. Hivyo ndani ya CCM kupinga rushwa ni uzalendo uliotukuka
 
Waliohusika kwenye scandal hiyo waliwajibika na kuwajibishwa. Ikumbukwe ya kuwa katiba ya CCM yenyewe inasema kuwa rushwa ni adui. Hivyo ndani ya CCM kupinga rushwa ni uzalendo uliotukuka
je kusema fanyaneni wakubwa kwa wakubwa acheni watoto ni uzalendo?
 
Chama changu kipo imara sana na ndio maana kinaendelea kupigiwa kura katika kila uchaguzi na kuaminika kwa watanzania
Hata Chadema a wanaona hivyo kwenye Chama a chao. Unatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio ili hali lako lina boriti
 
Hata Chadema a wanaona hivyo kwenye Chama a chao. Unatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio ili hali lako lina boriti
CCM ni chama imara na chenye mfumo imara wa kitaasisi.tofauti na CHADEMA inayokwenda kama kipofu gizani
 
kafulia ni mweupe sana huwezi mlinganisha na hawezi jibu hoja za akina Lisu,labda ungesema huko ccm ndo wote anawaongoza kwa uelewa sababu uvccm wengi ni mambumbumbu la saba wengine hata hawana zile sifa ya kusoma na kuandika. Me mwenyewe namtamani nikutanishwe naye na Alois nynda,kunasiku nilimchana live ananifahamu vizuri akasema bro tulia yaishe huku kijani me ndo genius
 
Huyo unayemsema Lissu mwaka 2020 alikuwa anapotosha habari za uchumi.lakini kilichomtokea hatakaa asahau.hii baada ya kurushiwa kombora moja Zito sana la hoja nzito zilizojaa ushahidi na takwimu sahihi na za ukweli.baada ya hapo Lissu alifunga mdomo wake na hakuwahi tena kuzungumzia habari za Uchumi
 
Tuendelee kuamini tunachoamini wakati utasema. Hawa mnaoona wanapalanganyika na kumuogopa David watawaonesha jambo wakati ukifika
 
Na wale wanataka kufungua mitandao ya kijamii nao wanamwogopa Nani.

Chadema itakusababishia stroko ya akili.

CHADEMA NI DUDE KUBWA,WEWE HUTALIWEZA.

Sana Sana,unajitekenya afu unacheka mpaka unagalagal
 
Na wale wanataka kufungua mitandao ya kijamii nao wanamwogopa Nani.

Chadema itakusababishia stroko ya akili.

CHADEMA NI DUDE KUBWA,WEWE HUTALIWEZA.

Sana Sana,unajitekenya afu unacheka mpaka unagalagal
CHADEMA lingekuwa ni Dude kubwa basi tusingeshuhudia kuwa na Mwenyekiti wa Muda wote.lakini inaonyesha CHADEMA hakuna watu na ndio maana chama kipo mfukono mwa mtu mmoja tu
 
Spana🤣
 
Mke wa kwanza wa ndoa aliyeaminiwa na kupewa siri-upenuni anaogopwa hata baada ya kutalikiwa!
 
Ni uteuzi mzuri sana uliogusa mioyo ya watu wengi sana. Lakini ambao umeendelea kuiwasha na kuonyesha namna Mheshimiwa Kihongosi alivyo na Nyota kali kama ile iliowaongoza Mama Jusi kwenda alipofichwa Mtoto yesu kristo
Yaani Msigwa au Heche au Lema au Sugu moto chini amwogope 2mbili? Mwashambwa upo muhimbili au milembe?
 
Yaani Msigwa au Heche au Lema au Sugu moto chini amwogope 2mbili? Mwashambwa upo muhimbili au milembe?
Embu acha utani na vichekesho vyako hapa.Hivi kweli unaweza mfananisha Mheshimiwa Kafulila na watu kama sugu au heche au lema au Msigwa?. Kwanza unafahamu elimu ya sugu au lema? Wana uelewa wowote na kanuni za kiuchumi? Usitake kumdhalilisha Mheshimiwa Kafulila hapa.
 
Tuendelee kuamini tunachoamini wakati utasema. Hawa mnaoona wanapalanganyika na kumuogopa David watawaonesha jambo wakati ukifika
CHADEMA hawana hoja zaidi ya Makele yasiyo na mpangilio wa aina yoyote ile.
 
CHADEMA lingekuwa ni Dude kubwa basi tusingeshuhudia kuwa na Mwenyekiti wa Muda wote.lakini inaonyesha CHADEMA hakuna watu na ndio maana chama kipo mfukono mwa mtu mmoja tu
Hivi ni Nani anataka kufungia mitandao😂😂.
Waambieni wafungie mitandao,kana kwamba wanauwezo hata wa kutengeneza toothstick.

Chama chakavu,mawazo chakavu,viongozi chakavu 98%

Iliyobaki Kuna MIAMBA NAIKUBALI KINYAMANYAMA.

Waliobaki ni wachumia tumbo🙏.Mimi ni mwumini wa watenda hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…