Kwanini chaguzi za TFF Kuna kupitia bila kupingwa kwingi?

Kwanini chaguzi za TFF Kuna kupitia bila kupingwa kwingi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Demokrasia lazima ionekane ikitendeka kwenye taasisi zote za umma ikiwemo TFF.

Kwanini changuzi za TFF wenyeviti wanapita bila kupingwa kwenye nchi yenye watu zaidi ya elfu 60?

Rais wa TFF Bw. Karia kapita bila kupingwa na mwenyekiti wa bodi ya ligi Bw. Mnguto Nasikia nae anapita bila kupingwa. Kulikoni?
 
CCM na figisu ni uji na mgonjwa.
 
Tatzo la waamzi litaisha iwapo tu uchaguzi wa TFF utaingiliwa na serikal ipasavyo.
 
PCCB ichunguze namna wagombea wa kiti cha Urais na Mwenyekiti TFF wanavyopatikana, kwa kujiridhisha tu. Kule ulaya na marekani wanasheria hawatumwi kazi, wanajitafutia kazi wao wenyewe (wana initiate na kushawishi jambo la kisheria ndani ya jamii lipewe haki stahili).

Hili ni eneo ambalo PCCB na wanasheria wetu wa kujitegemea nchini wangechegama nalo ili kujiridhisha kama sheria haipindishwi ili kumarisha haki na demokrasia nchini,
 
Back
Top Bottom