PCCB ichunguze namna wagombea wa kiti cha Urais na Mwenyekiti TFF wanavyopatikana, kwa kujiridhisha tu. Kule ulaya na marekani wanasheria hawatumwi kazi, wanajitafutia kazi wao wenyewe (wana initiate na kushawishi jambo la kisheria ndani ya jamii lipewe haki stahili).
Hili ni eneo ambalo PCCB na wanasheria wetu wa kujitegemea nchini wangechegama nalo ili kujiridhisha kama sheria haipindishwi ili kumarisha haki na demokrasia nchini,