Kwanini ' Challenge ' hakuna Tanganyika?

Kwanini ' Challenge ' hakuna Tanganyika?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Takriban timu zote zinazoshiriki mashindano ( bonanza ) haya huwakilishwa na timu za taifa za nchi lakini ni Tanganyika tu ndo haisikiki na badala yake inawakilishwa na timu ya mkoa wa Kilimanjaro. Nafahamu hii ni siasa zetu lakini jina nalo linachangia kutofanya vizuri kwa timu hii.
Hujiuliza ni dhambi gani timu ikibeba jina halisi la TANGANYIKA?
 
Lingine hawakupewa bendera yao wakajikuta wanaile ya kichwa cha mwendawazimu tofauti na Zenji
 
Siasa za ccm bwana pasua kichwa.
 
Iyo ni mija ya Kero ya muungano.
Ccm lakini ndo wahapo tayari kuitatua
 
Back
Top Bottom