Takriban timu zote zinazoshiriki mashindano ( bonanza ) haya huwakilishwa na timu za taifa za nchi lakini ni Tanganyika tu ndo haisikiki na badala yake inawakilishwa na timu ya mkoa wa Kilimanjaro. Nafahamu hii ni siasa zetu lakini jina nalo linachangia kutofanya vizuri kwa timu hii.
Hujiuliza ni dhambi gani timu ikibeba jina halisi la TANGANYIKA?