Kwanini chama cha siasa kinapata wabunge wengi lakini mgombea Urais wake anapata kura chache sana?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Mgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea wabunge pamoja na pengine madiwani?

Una maoni gani juu ya hali hii.
 
Bado unaamini uchaguzi wa Tanzania . Wewe ni mchawi na mnafiki. Stupid
Amini Mungu kamanda, acha ushirikina, kuamini visivyostahili 🐒

kukata tamaa ni mzigo mzito mno moyoni. Ni dhambi pia, na imeandikwa , watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa 🐒

kwamba umekosa kabisa maarifa kamanda, you have stacked strategically, mentally, physically and spirituality 🐒
 
Mgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea wabunge pamoja na pengine madiwani?

Una maoni gani juu ya hali hii.
Aisee kweli kwa mfano hapa kwetu hili jambo ccm wajitafakari sana
 
Leo anaondoka kwenda Korea kupunga upepo na wasanii wenzake
Lema pia soon anaondoka, pesa za wafadhili zimeshaingia kwa account...

nimefurahi sana ungwana wa lema kuchagua moja. Angeshinda uchaguzi halafu asepe ughaibuni ingekua si nzuri kisiasa 🐒
 
Inategemeana na huo uchaguzi umefanyika wapi!
Kama ni Africa ujue Ujinga, Udanganyifu, Wizi na Rushwa ni miongoni mwa sababu!
hiyo huwa ni sababu na visingizio vya wanao kua hawana wagombeaji mahiri, sera nzuri za kumshawishi wanainchi wawachague na mambo mengine kama hayo 🐒

kiongozi wa kiimla Yaya Jammeh wa kule Gambia, aliejifanya ni mungu mtu alitolewa mamlakani, na mpinzani makini sana alieunganisha nguvu na wenzie Adama Barow tangu 2016 nadhani mpaka sasa ni Rais 🐒

Mathalani,
hapo Gambia, aliefanya ujinga, wizi, rushwa na udanganyifu ni nani kwa mfano 🐒

ni wanainchi, chama Tawala au Upinzani?
 
Arusha ya leo ni ngumu, maasai hawatakubali tena kuongozwa na wachaga. Mwenyekiti mwenyewe wa CCM mkoa wa Arusha babake Lengai Ole Sabaya bd kuna Gambo hapo, Lema atapitia wapi. Akagombee kwao Machame, Arusha ina wenyewe.
 
sina hakika Makonda kama atadumu pale Arusha, ingekua ni hivyo basi angeweza kufanya Jambo pale Arusha mjini kwenye nafasi ya UBUNGE, Gambo anatumia muda mwingi kugombana sana....

Politically speaking,
kimkakati Makonda kwa kazi maalumu alopewa , baada ya Arusha, atakwenda Mwanza kisha, ataenda Dar es salaama kuhitimisha mkakati huo maalumu, ambapo atagombea UBUNGE kigamboni, wakati huo Faustine atakua kaishapatiwa kazi ya kufanya huko kwenye Taasisi za kimataifa, kama ambavyo amekua endorsed na president Dr Samia Suluhu Hassan hivi majuzi, ili kusiwe na matata 🐒
 
Mgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea wabunge pamoja na pengine madiwani?

Una maoni gani juu ya hali hii.
Yale mambo ya mafiga matatu ni ufelishaji wa demokrasia,,achaguliwe mwanadamu/individual na si mtu.
 
hiyo huwa ni sababu na visingizio vya wanao kua hawana wagombeaji mahiri, sera nzuri za kumshawishi wanainchi wawachague na mambo mengine kama hayo 🐒

kiongozi wa kiimla Yaya Jammeh wa kule Gambia, aliejifanya ni mungu mtu alitolewa mamlakani, na mpinzani makini sana alieunganisha nguvu na wenzie Adama Barow tangu 2016 nadhani mpaka sasa ni Rais 🐒

Mathalani,
hapo Gambia, aliefanya ujinga, wizi, rushwa na udanganyifu ni nani kwa mfano 🐒

ni wanainchi, chama Tawala au Upinzani?
Mabadiliko yanaletwa na wananchi! Ni hatari sana kama wananchi wanaungana na wezi. Muunganiko huo kama ulivyo kwa Tanzania unachelewesha mabadiliko!
 
Mgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea wabunge pamoja na pengine madiwani?

Una maoni gani juu ya hali hii.
Anapigwa kura
Kama atafaa
 
Back
Top Bottom