Leo anaondoka kwenda Korea kupunga upepo na wasanii wenzakeHili nalo mkalitazame
Hawataki kuwe na mashine za kuhesabu kuraInategemeana na huo uchaguzi umefanyika wapi!
Kama ni Africa ujue Ujinga, Udanganyifu, Wizi na Rushwa ni miongoni mwa sababu!
Amini Mungu kamanda, acha ushirikina, kuamini visivyostahili πBado unaamini uchaguzi wa Tanzania . Wewe ni mchawi na mnafiki. Stupid
Aisee kweli kwa mfano hapa kwetu hili jambo ccm wajitafakari sanaMgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea wabunge pamoja na pengine madiwani?
Una maoni gani juu ya hali hii.
Lema pia soon anaondoka, pesa za wafadhili zimeshaingia kwa account...Leo anaondoka kwenda Korea kupunga upepo na wasanii wenzake
hiyo huwa ni sababu na visingizio vya wanao kua hawana wagombeaji mahiri, sera nzuri za kumshawishi wanainchi wawachague na mambo mengine kama hayo πInategemeana na huo uchaguzi umefanyika wapi!
Kama ni Africa ujue Ujinga, Udanganyifu, Wizi na Rushwa ni miongoni mwa sababu!
Tayari una sononaBado unaamini uchaguzi wa Tanzania . Wewe ni mchawi na mnafiki. Stupid
We kapunge vumbi. Umaskini na ujuha wako hauwezi kuwa mzigo kwa wenzioLeo anaondoka kwenda Korea kupunga upepo na wasanii wenzake
Arusha ya leo ni ngumu, maasai hawatakubali tena kuongozwa na wachaga. Mwenyekiti mwenyewe wa CCM mkoa wa Arusha babake Lengai Ole Sabaya bd kuna Gambo hapo, Lema atapitia wapi. Akagombee kwao Machame, Arusha ina wenyewe.hiyo huwa ni sababu na visingizio vya wanao kua hawana wagombeaji mahiri, sera nzuri za kumshawishi wanainchi wawachague na mambo mengine kama hayo π
kiongozi wa kiimla Yaya Jammeh wa kule Gambia, aliejifanya ni mungu mtu alitolewa mamlakani, na mpinzani makini sana alieunganisha nguvu na wenzie Adama Barow tangu 2016 nadhani mpaka sasa ni Rais π
Mathalani,
hapo Gambia, aliefanya ujinga, wizi, rushwa na udanganyifu ni nani kwa mfano π
ni wanainchi, chama Tawala au Upinzani?
sina hakika Makonda kama atadumu pale Arusha, ingekua ni hivyo basi angeweza kufanya Jambo pale Arusha mjini kwenye nafasi ya UBUNGE, Gambo anatumia muda mwingi kugombana sana....Arusha ya leo ni ngumu, maasai hawatakubali tena kuongozwa na wachaga. Mwenyekiti mwenyewe wa CCM mkoa wa Arusha babake Lengai Ole Sabaya bd kuna Gambo hapo, Lema atapitia wapi. Akagombee kwao Machame, Arusha ina wenyewe.
Yale mambo ya mafiga matatu ni ufelishaji wa demokrasia,,achaguliwe mwanadamu/individual na si mtu.Mgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea wabunge pamoja na pengine madiwani?
Una maoni gani juu ya hali hii.
Poa dada anguWe kapunge vumbi. Umaskini na ujuha wako hauwezi kuwa mzigo kwa wenzio
Mabadiliko yanaletwa na wananchi! Ni hatari sana kama wananchi wanaungana na wezi. Muunganiko huo kama ulivyo kwa Tanzania unachelewesha mabadiliko!hiyo huwa ni sababu na visingizio vya wanao kua hawana wagombeaji mahiri, sera nzuri za kumshawishi wanainchi wawachague na mambo mengine kama hayo π
kiongozi wa kiimla Yaya Jammeh wa kule Gambia, aliejifanya ni mungu mtu alitolewa mamlakani, na mpinzani makini sana alieunganisha nguvu na wenzie Adama Barow tangu 2016 nadhani mpaka sasa ni Rais π
Mathalani,
hapo Gambia, aliefanya ujinga, wizi, rushwa na udanganyifu ni nani kwa mfano π
ni wanainchi, chama Tawala au Upinzani?
Anapigwa kuraMgombea Urais na chama chake anakua hana sifa za kutosha, hana ushawishi, hana sera mbadala, wala mikakati mizuri ya kuongoza au wapiga kura hawamuelewi badala yake wanawaelewa zaidi wagombea wabunge pamoja na pengine madiwani?
Una maoni gani juu ya hali hii.