Jamani huu ni muda muafaka wa kujipanga vizuri ýaani kama daladala anatoka mtu anaingia mtu! Inaonyesha baadhi ya vijana wana ndoto za madaraka tu! Wakishindwa kuyapata basi wana-quit!
Kwani kila mtu kaandikiwa kuwa kiongozi?, basi wengine tuwe washauri sio kukosa madaraka unaamua kujivua uanachama ukisemwa kudogo unaamua kujivua uanachama tusiwe na roho ndogo ya kuzira.
Lwakatare = Kufulila..maana ni watu wa kuhamahama vyama kama kawaida..lol..do you still believe thins kind of people...chadema mmeishiwa kwelikweli..hakuna mwanachama mwingine ajabu..?