The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Kama hesabu haiji basi weka tarehe ya muasisi wa kobazi.Wakuu,
Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..
Mbona kama hesabu haipo sawa.
Soma Luka 1:26-35
Hahah natafuta mlango wa kutokeaLuka amefanyaje Tena?
Au watoto washaanza kusumbua?
Mambo ya dy/dx yanajibu vipi swali langu?Tulijifunza permutations and combinations pia calculus, geometry na logic! If not mathematical it is magical.
Sasa Pasaka na mimba ya Yesu wapi na wapi? Halafu una uhakika Yesu alitungwa mimba mwezi wa 6? Nenda kasome upya, ule sio mwezi wa sita like June, ni miezi 6 since malaika Gabriel alipomtokea Zakaria na mkewe Elizabeth kuhusu mimba ya nabii Yohana mbatizaji; in other words, Yesu na Yohana mbatizaji wanatofautiana miezi 6 kuzaliwa.Wakuu
Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..
Mbona kama hesabu haipo sawa.
Soma Luka 1:26-35
Jibu hojaImeshazoeleka Kila mwaka Tarehe kama hizi, mada za kijinga kama hizi huwa zinaibuka
Hio ni kumbukumbu sio kwamba ndo siku halisi.....orthodox wengi Christmas ni mwezi wa kwanzaWakuu,
Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.
Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti..
Mbona kama hesabu haipo sawa.
Soma Luka 1:26-35
Hakuna jambo kama Hilo, Kila kitu kina maana, hata hivyo vitu vya kuokotwa vinapewa majina kulingana na uhalisia wake, ndiomaana Kuna scientific names kwa mimea, chemicals, wanyama n.k, Kila kitu kina uhalisia wake.Jamani tuwe tunatumia akili ya kawaida,tarehe,majina ya miezi,majina ya siku yote ni naming tu hayana maana yoyote hapo kabla.Ni watu ndio wamevipa maana ni kama wewe leo uokote kitu polini ambacho hukijui halafu ukaamua kukipa jina-hivyo haimanishi hilo jina ndio uhalisia wa hicho kitu.
Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu.
🤣🤣🤣Nimekushindwa aiseeHahah natafuta mlango wa kutokea
Hii tar.25Dec.,kiuhalisia ni siku ya kuzaliwa kwa Prince Tammuz.Sasa Pasaka na mimba ya Yesu wapi na wapi? Halafu una uhakika Yesu alitungwa mimba mwezi wa 6? Nenda kasome upya, ule sio mwezi wa sita like June, ni miezi 6 since malaika Gabriel alipomtokea Zakaria na mkewe Elizabeth kuhusu mimba ya nabii Yohana mbatizaji; in other words, Yesu na Yohana mbatizaji wanatofautiana miezi 6 kuzaliwa.
Now back to the topic (yote haya ni kwa mujibu wa mtazamo wangu baada ya kuisoma Biblia ). Nadhani hiyo pasaka, ulitaka kusema Christmas na sjo Pasaka; kwa ufupi hata mimi siamini kama Yesu alizaliwa tarehe 25 December. Hi siku ni ya kubuni, sio siku sahihi. Ninazo sababu kubwa 2, moja ambayo ni ya uhakika ni hi, sherehe zote za Kikristo zina mizizi agano la KALE, Pasaka, Pentecost, Ijumaa kuu nk zote zilianza kwenye agano la kale; yaani matukio yote ya Yesu na kanisa, misingi yake iliwekwa kabla Yesu hajazaliwa, kwasababu ya muda sitazifafanua hizo sherehe maanake zipo wazi sana kwa Biblia, Kristmas haipo, sio miongoni mwa hizo sherehe. Sababu yangu ya pili ni ya kutokuamini kwamba Yesu hakuzaliwa mwezi December ni ya Kijiografia na kihistoria. Biblia inasema, wakati Yesu anazaliwa, kulikua na baadhi ya wachungaji wako porini wakichunga wanyama wao (you may put kondoo hapa ) ilikua usiku or alfajiri; kwa mujibu wa majira ya kijografia na kihistoria, mwezi December ni kipindi cha baridi kali sana and hence wasn't possible kwa watu kua nje usiku or alfajiri; kipindi hicho wachungaji walikua wanawalisha mifugo yao akiba ya chakula ambacho walikiandaa miezi ya joto. Kwasababu hizo 2, Yesu hakuzaliwa December, possible ilikua kati ya September or August.