K Kidya Member Joined Aug 23, 2014 Posts 13 Reaction score 1 Sep 8, 2014 #1 Wadau wa elimu chuo cha ualimu Tukuyu hakijapangiwa wanafunzi. Nahisi kimewekwa kando kusubiri watakao chaguliwa diploma ngazi ya sec, au cheti primary level. Mwenye taarifa za kina atujuze.
Wadau wa elimu chuo cha ualimu Tukuyu hakijapangiwa wanafunzi. Nahisi kimewekwa kando kusubiri watakao chaguliwa diploma ngazi ya sec, au cheti primary level. Mwenye taarifa za kina atujuze.