Kwanini chuo kikuu cha Dodoma hakichukui ambao hawakufika kidato cha sita

shamzengi

New Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
4
Reaction score
5
Kwanini chuo kikuu cha Dodoma hakichukui ambao hawakupita kidato cha sita kwa waliohitimu mafunzo ya stashahada ya ualimu elimu ya awali kwa kuchagua kozi nyingine za elimu
 
Diploma ya kiswahili ni kozi ya kisiasa komaeni na diploma nyngne hiyo itawakosesha fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…