Kwanini Clouds wameingilia tarehe 4/12 ya EFM?

Kwanini Clouds wameingilia tarehe 4/12 ya EFM?

Sie hatuna shida na shemeji.
4/12 ni mwendo wa kisingeli tu. Na vile hamna kiingilio tunakesha afu asubuhi tunaamkua kwa mwamposa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HII NDO TABIA YA WABONGO KWANI TUNAPANGIANA TAREHE ZA KUFANYA MATAMASHA???

NDO YALE YALE MTU AKITOA WIMBO HAWATAKI MWINGINE ATOE BILA SHAKA NI KUOGOPA USHINDANI
 
Shem darling anakuja kwa ajili ya mery mery ila uswazi watajiendea singeli
 
Wabongo hatuwezi kuendelea yaani mwenzako E FM amepanga event ya komaa concert Clouds nao wamepanga kumleta Rick Ross. Nakumbuka Lady Jay Dee alitangaza show Clouds waka andaa show na kumleta Mwana FA, haya mambo ya ajabu kweli
Wapenzi wa singeli hawaingiliani na wapenzi wa hiphop hasa ya mtoni! Watagawana wateja!
 
Back
Top Bottom