Kwanini Clouds wameingilia tarehe 4/12 ya EFM?

Sie hatuna shida na shemeji.
4/12 ni mwendo wa kisingeli tu. Na vile hamna kiingilio tunakesha afu asubuhi tunaamkua kwa mwamposa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni Tanzania mpya ya ushindani hatuwezi kurudi zama za mawe za kati. Clouds wako sahihi sana. Kama una watu watakufuata tu no matter what. Be strong mkuu ndo dunia ya ushindani hiyo. Kwani watafanya same place na efm?
 
HII NDO TABIA YA WABONGO KWANI TUNAPANGIANA TAREHE ZA KUFANYA MATAMASHA???

NDO YALE YALE MTU AKITOA WIMBO HAWATAKI MWINGINE ATOE BILA SHAKA NI KUOGOPA USHINDANI
 
Shem darling anakuja kwa ajili ya mery mery ila uswazi watajiendea singeli
 
Wabongo hatuwezi kuendelea yaani mwenzako E FM amepanga event ya komaa concert Clouds nao wamepanga kumleta Rick Ross. Nakumbuka Lady Jay Dee alitangaza show Clouds waka andaa show na kumleta Mwana FA, haya mambo ya ajabu kweli
Wapenzi wa singeli hawaingiliani na wapenzi wa hiphop hasa ya mtoni! Watagawana wateja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…